Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello, habari wana jamvi. Nina ndoto ya kufanya biashara ya kuagiza ama kwenda kununua mzigo China hususan simu na vifaa vya simu. Naomba kujua na kupata ushauri wenu, nahitaji; 1. Mtaji kiasi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
1 Reactions
114 Replies
393 Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
34 Reactions
296 Replies
6K Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
1 Reactions
16 Replies
84 Views
Dubai yakumbwa na mafuriko, safari za ndege zasimama Mvua kubwa imeendelea kupiga katika mji wa Dubai na nchini Oman, na kusababisha mafuriko ambayo yamepelekea maafa na kusimamisha safari za...
1 Reactions
1 Replies
30 Views
SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI. Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo...
2 Reactions
23 Replies
236 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
10 Reactions
128 Replies
865 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
24 Reactions
347 Replies
5K Views
Habari wana JF. Poleni na Majukumu. Naombeni msaada wenu. Naitaji kufungua biashara ya kuuza vifaa vya simu na simu, nina mtaji wa Millioni 2, naombeni mnifahamishe namna ya kuianza biashara hii...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Movie hizi mbili"Wrong Turn" na "Saw" zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,526
Posts
49,420,891
Members
665,972
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom