Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine. Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata...
6 Reactions
24 Replies
391 Views
Ukienda Kule mtandaoni X Watanganyika wamechachamaa na kumlaani mbunge wa ACT wazalendo kwa Hoja yake ya kibunge kwamba Watanganyika waingie Zanzibar kwa Passport kama zamani Nauliza tu, Kosa...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari za Jumapili, Kwa yoyote anayehitaji chef tuwasiliane 0744054228/0657642225
4 Reactions
26 Replies
301 Views
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
12 Reactions
88 Replies
638 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
4 Reactions
26 Replies
294 Views
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
17 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
6 Reactions
36 Replies
685 Views
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi...
21 Reactions
103 Replies
5K Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
4 Reactions
36 Replies
817 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,167
Posts
49,476,602
Members
666,630
Latest member
lsack jonathan jacob
Back
Top Bottom