Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo...
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii...
Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia.
Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa...
Habarini ndugu zangu
Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory...
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷
Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja.
Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.