Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana. Na ukweli ni kwamba upigwaji...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Hakika Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameweka Rekodi ya kuwa kuwa Kiongozi anayeombewa sana na VIONGOZI wa Dini. Kwa muda mfupi uliopita Bwana Makonda ameombewa na Viongozi Wafuatao 1. Kardinali Pengo...
4 Reactions
25 Replies
787 Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
2 Reactions
52 Replies
1K Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
13 Reactions
113 Replies
3K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
13 Reactions
269 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
183K Views
1) Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka...
31 Reactions
56 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,850
Posts
49,398,950
Members
665,733
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom