Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo...
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto...
Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa!
Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa...
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.
Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
Narejea maneno haya kwa hali mpya ya sasa. Kwa hali ilivyo sasa kundi la Cartel limekuwa kubwa. Mahakama hazitendi haki, zinashirikiana na waharifu. Polisi hawatendi haki, vituo vimekuwa ni sehemu...
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.
Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.