Kumekuwa na visa vingi vya kuvunjika kwa ndoa hasa ndoa changa huku wivu na usaliti baina ya wanandoa vikitajwa kuwa vyanzo vikuu.
Labda ni wakati muafaka kwa mafunzo ya jando na unyago...
_________________________________
Pesa ya kuokota : Ni pesa ambayo haukulazimika kuifanyia kazi! Hapa kuna maeneo mazuri ya kutembelea ili upate hiyo bahati.
1. Tembelea Sehemu za Uoshaji...
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili...
Ila cha saa kumi huwa...
Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms...
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.
mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
Nina miaka kadhaa ninatumia decoder ya startime husema burudani kwa wote lkn nimefuatilia naona ni burudani kwa wachina na wakorea sina ninacholifaidi
Sasa kwa mwenye uhitaji na hiyo king'amuzi...
Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
Habari Wana Jamiforums natumani mko poa kabisa.
Kuna ndoto moja ina inanitesa Sana nimeona bora leo nilielezee hapa jukwaani angalau niweze kupata ufafanuzi kidogo kuhusiana na ndoto hii ninayo...
Night of scary: USIKU WA KUTISHA hi stoly nimetunga kwa umalidadi na ufasaha kabisa ni uzuni kidogo
Ukuapo maijila ya saa 7 usiku mkoa shinyanga kijijin cha tambukareli kulikua na familia moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.