Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe! Huu Muungano una dhima Gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania! Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini,
Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya...
Wengi wa vijana wa kijana wa kileo tumekuwa tukifuata mkumbo tena na kushawishiana eti Kataa ndoa bila ya kujua umuhimu wa jambo tunalolipinga.
Miongozi mwa faida za ndoa ni pamoja
kukupa...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.