Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
11 Reactions
46 Replies
455 Views
Hii imetokea nchini Kenya. Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari. Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha...
2 Reactions
14 Replies
218 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
821 Replies
20K Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
8 Reactions
104 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019. Natamani sasa kupata Gari nyingine...
3 Reactions
8 Replies
156 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Paul Christian Makonda ametembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha yaliyoathirika na mafuriko yaliyotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Arusha...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida. Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike. Lakini...
75 Reactions
403 Replies
59K Views
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia. Si upendo wa kiuchafuchafu...
14 Reactions
114 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo...
27 Reactions
167 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,878
Posts
49,399,727
Members
665,742
Latest member
H VOLTAGE
Back
Top Bottom