Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
2 Reactions
23 Replies
459 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa jamaa haswa Hawa wa kigeni wanakunja mshiko wa maana sna ktk ligi yetu Nimesikia azizi k analipwa milion 28 kamili baada ya makato sijajuwa wa pacome Nimewaza HV...
0 Reactions
2 Replies
55 Views
Wanakumbi. 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA" Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili...
1 Reactions
17 Replies
347 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Binti Machozi sasa yupo huru kuolewa na yeyote amtakae
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema...
11 Reactions
37 Replies
733 Views
Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds...
9 Reactions
75 Replies
2K Views
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
1 Reactions
36 Replies
309 Views
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
8 Reactions
36 Replies
550 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,147
Posts
49,476,016
Members
666,599
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom