Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natumai wote wazima kabisa Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya...
4 Reactions
12 Replies
154 Views
A
Anonymous
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
2 Reactions
12 Replies
601 Views
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka. 1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa...
3 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari wanajamvi? Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF. Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo Mimi naanza hapa👇...
16 Reactions
147 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Yesu Kristo Messiah alipowafundisha wanafunzi wake kusali, ninaquote moja ya kifungu kimoja katika Sala hiyo kisemacho, "USITUTIE MAJARIBUNI, BALI UTUOKOE NA YULE MWOVU, AMEN." Kwa kimombo, DO...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye wameonana baada ya kuachana miaka mingi wakiwa shuleni pamoja Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum...
4 Reactions
21 Replies
815 Views
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
1 Reactions
11 Replies
75 Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
20 Reactions
2K Replies
189K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,899
Posts
49,400,319
Members
665,766
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom