Kwema wakuu
Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye
1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat.
2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa
Mengine...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali.
watawala kujazilishia...
Hili siwezi kukaa nalo lazima niliseme maana alihitaji uelewa zaidi wa kibobezi. Mimi nafanya harakati zangu za kutafuta riziki mitaa ya Kariakoo sasa nina mwaka mmoja na miezi kadhaa lakini kuna...
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO
UTANGULIZI
Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hkuna tajiri mwingine mweny degree Wala diploma wengi wao Ni darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darsa la nne wako wengi...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.