Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
26 Reactions
127 Replies
2K Views
Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao. Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia...
3 Reactions
17 Replies
550 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
1 Reactions
22 Replies
353 Views
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
7 Reactions
81 Replies
1K Views
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya...
3 Reactions
22 Replies
713 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views
Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,957
Posts
49,401,927
Members
665,782
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom