Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi...
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌...
Kwa wale mliowahi kufika na kuishi na mnaoishi South africa, Je sio kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi kama ilivyo Tz (30years jail),
Binti mmoja (minenhle) ambaye ni social...
Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali.
Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa...
Niaje waungwana
Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya...
Ukiwa na mwanaume ambae anajua kupambana na kuitunza familia au kukutunza vuzuri kipindi cha uchumba na anajua kuitafuta hela basi kuwa na adabu haswaa, Moja ya bidhaa inayowindwa na wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.