Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar.
Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika
Ameanza na ushauri
Tatizo upeo tu, wale...
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo.
Jee ni kweli?
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Naona mambo sasa yamekaa sawa.
Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa.
Huu Mwaka hakuna kanisa lenye...
Kuna watu wananunua wanyamahai kama mbwa, paka n.k kwa ajili ya kufuga majumbani kwao.
Cha ajabu unakuta wanyama hao wanazuruza tu ovyo huko barabarani bila uangalizi wowote na wengine wanaishia...
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
Kwa mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly .
Wacha inyeshe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.