Nafasi ya Polisi katika nchi, tofauti na wengi wanavyoamini, ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi.
Kwa hapa kwetu nchini, kwa muda mrefu, imejengeka imani kuwa watu wenye uwezo mdogo wa kimasomo...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
miundombinu mibovu, ripoti ya CAG inatisha, bajeti kujikita zaidi kwenye matumizi ya kawaida, kupeleka nguvu nyingi kwenye siasa za chama tawala na kusahau majukumu yao serikalini!
Tutawaadabisha...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.