P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa...
WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI
Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
App yangu imebadilika naona imekuwa na muonekano mbaya na mgumu kutumia tofauti na mwanzo sijui nyie wenzangu na mod naombeni ufafanuzi , app imekuwq kama browser ngumu kutumia
-
Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.