Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo,tyipod na malaria mara...
Habari wana jf. Naimai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na waschana takribani matano mpk asaiv.
Ila chakushangaza kila dem napokuwa kweny mahusiano nae...
Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Wakuu,
Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56.
Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.