Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa...
1 Reactions
15 Replies
418 Views
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza, Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu. SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama...
29 Reactions
126 Replies
2K Views
wakuu ni aje Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
4 Reactions
31 Replies
215 Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
3 Reactions
9 Replies
67 Views
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka...
3 Reactions
9 Replies
89 Views
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote. Arsenal...
11 Reactions
36 Replies
912 Views
Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
4 Reactions
65 Replies
473 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,477
Posts
49,419,051
Members
665,949
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom