Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Wana bodi Amani iwe juu yenu.
Awali nimshukuru Mwenyenzi Mungu kunifikisha Mwaka huu wa 2024 naamini pia atanivusha salama na kufika 2025 kwa maepnzi yake.
Iko hivi nimejipima nimeona sifa...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo...
Naomba tutoe ya moyoni ili kuponya walio nyuma yetu wasifanye makosa na kuifanya ndoa kuwa taasisi imara zaidi. Nilichokuja kugundua kuna mengi waliotangulia hawakuniambia ukweli na sijui ilikuwa...
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki.
Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat...
Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni...
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,
1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.