Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo...
16 Reactions
96 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
503K Replies
27M Views
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho Tuko watu 3 na mizigo yetu Tunaitaji gari la kutupeleka Tu Mtu ambae Yuko interesting please nipm Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
1 Reactions
9 Replies
79 Views
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
3 Reactions
29 Replies
299 Views
Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi? My Take Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC ===== Waziri wa Nchi...
1 Reactions
6 Replies
168 Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
14 Reactions
168 Replies
3K Views
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
18 Reactions
94 Replies
3K Views
Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity " umejilengesha bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma? ========================== Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma...
3 Reactions
42 Replies
805 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,720
Posts
49,112,123
Members
662,979
Latest member
juma all
Back
Top Bottom