Habari wadau
LEo nilienda na sendo huko katk kbarua changu sasa gafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuw kubwa na chafu dah za MKONON nazo nikama zimefikia hatua ya Kukata.
sasa...
Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya nchi nilizotembelea na nikalinganisha na nchi yangu pendwa Tanzania. Baada ya utafiti nimegundua Pesa ya Tanzania inatumika sana kwenye Imani za kishrikina...
Kama ilivyo kwa upande wa wanaume kujichua ila wanaume unakua pekeyako.
Kwa wanawake ni tofauti ni lazima wawe wawili waweze kugusanisha vikojoleo vyao. Na wakiulizwa sababu ya wao kufanya hivyo...
Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.