Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Nauza taa za solar wakubwa karibuni sana
WAPENI HIZI #WATUMISHI
ZA SOLAR
ZINA SESOR YA MTU AKIPITA INAWAKA
ZINA SENSOR YA KUJIWASHA GIZA LIKIINGIA
KWA MATUMIZI BALAZANI , KWENYE FENSI &...
Ajira za mkataba walizotoa Tamisemi zinaenda kuwa sehemu ya siasa.
Ajira hizo ni za afya Mradi wa TMCHIP zimekuwa jibu ambalo kiuhalisia bado halijatumbuka.
Tamisemi imewapangia kazi watumishi...
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika
Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine
Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana, wanaokaa huko na wanafanya kazi...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.