Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?
Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi san. Sintawataja. Ila ni kati ya benk mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi...niseme...
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
Tuende mbele halafu turudi, hii inshu kwa kiasi flani imewaanya wahusika kutojiamini wakiwa na magari yao baada ya kutolewa zile plate namba za 3D. [emoji22]
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka MITATU ya Urais wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Inahitaji jicho la ziada na la kijasusi kuona jambo fulani katika video hii wakati Mamelodi Sundowns wanakanyaga ardhi ya Nyerere.
https://www.youtube.com/watch?v=WbXPCaWE4uY
Embu nione ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.