Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello. Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe. Au ndo masharti ya mganga wao...
1 Reactions
28 Replies
802 Views
Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa? Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni...
1 Reactions
9 Replies
528 Views
2 Reactions
13 Replies
53 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
5 Reactions
86 Replies
587 Views
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania kwa madai kuwa umesababisha mateso miongoni mwa maelfu ya wanakijiji kama ilivyokuwa katika kuwahamisha jamii ya maasai...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni...
0 Reactions
15 Replies
425 Views
Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao. Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
23 Reactions
185 Replies
3K Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
13 Reactions
57 Replies
698 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,950
Posts
49,470,227
Members
666,529
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom