Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)
Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini.
Je Kuna Nini kinaendelea?
Mashaka ni kwamba labda bomba...
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
Hivi ingetokea kwamba mtu akifanya jambo kwenye mahusiano usilokubaliana nalo wewe, anafungwa jela au kutoa faini ingekuwa jambo gani hilo? Kifungo kwa muda Gani? Au faini shilingi ngapi?
Kwa...
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024. Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.