Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Ni nadra sana Leo hii kuwasikia Viongozi wa CCM wakiunanga Upinzani lakini wawapo mikutanoni Viongozi hao ni wakali kweli kweli
Je, unajua wanamfokea nani?! 🐼
Jumaa kareem 😄
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
Mojawapo ya kitu ilichofanya jamiiforum kupendwa na wengi ni upekee wake,walijitofautisha na aina ya Facebook,insta n.k...sasa ni ngumu kidogo kuja kama insta halafu kuwahamisha wapenzi wa insta...
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa muhanga wa kukuta mambo ndivyo sivyo katika mahusiano, yaani mwanamke nnaye mtaka kuna wakati simpati, nikimpata basi ndani ya muda mfupi namtaka mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.