Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari za muda huu wapendwa.....,... Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde..... Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako...... Kuna nyakati unapitia...
4 Reactions
16 Replies
110 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye...
6 Reactions
31 Replies
698 Views
Habari wakuu! Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
3 Reactions
18 Replies
211 Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
12 Reactions
59 Replies
494 Views
Angalizo: Mada za Msingi kama Hizi Huwezi Wakuta Watanzania wanadili ila Umbea,michezo,siasa na dini . Kwenye mada,Kwa mujibu wa Utafiti wa Benki ya Dunia,Tanzania inashika nafasi ya 180 kati ya...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Ni Ushauri tu Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema? Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
24 Reactions
1K Replies
69K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,841
Posts
49,467,429
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom