Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia. Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza...
1 Reactions
12 Replies
220 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
12 Reactions
360 Replies
6K Views
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
275 Reactions
51K Replies
18M Views
Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi. Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi. Watu...
5 Reactions
120 Replies
12K Views
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
1 Reactions
28 Replies
432 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu humu !! Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Mnaotumia barabara ya morogoro, kibaha mlandizi au chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini. Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory...
3 Reactions
9 Replies
269 Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
3 Reactions
9 Replies
169 Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa...
11 Reactions
23 Replies
861 Views
Starting from upcoming Msalato International Airport
16 Reactions
1K Replies
87K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,452
Posts
49,202,155
Members
664,010
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom