Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika...
11 Reactions
80 Replies
842 Views
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM...
27 Reactions
123 Replies
9K Views
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee. Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa...
14 Reactions
40 Replies
492 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono. Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti. Askari walifika...
3 Reactions
24 Replies
230 Views
Uongo dhambi. Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini. Hata mke wangu...
2 Reactions
103 Replies
15K Views
Katiba ya JMT imetamka Wazi endapo Rais atapata dharura na Kushindwa kuendelea kuongoza basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais wa JMT Wakati wa kupiga kura ni mtu Mjinga tu ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
wakuu Mambo ni vipi. Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
23 Reactions
136 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh.Mtatiro kwa kuteuliwa tena...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Mahakama ya wilaya ya Babati umemhukumu kifungo cha maisha jela Yunusu Juma (18), Mkazi wa Kijiji cha Mawemairo kata ya Magugu Mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,959
Posts
49,436,102
Members
666,147
Latest member
asamG
Back
Top Bottom