Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mchambuzi maarufu wa maswala ya Siasa nchini mh Gelard Hando amesema mh Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa Hii ni kwa mujibu wa Katiba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
4 Reactions
25 Replies
329 Views
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
5 Reactions
109 Replies
2K Views
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
24 Reactions
1K Replies
69K Views
Nimesoma vitabu na kusikiliza hotumbq mbalimbali youtube na machapisho kadhaa ya uchumi binafsi ( personal economy) nimeona wote wanasisitiza mtu kuwa na EMMERGENCY Fund. Hiki ni kiasi ambacho...
5 Reactions
24 Replies
507 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
39 Reactions
776 Replies
15K Views
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used. Hii ni kwa gari ndogo tu. Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina...
20 Reactions
41 Replies
4K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
4 Reactions
26 Replies
235 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
16 Reactions
843 Replies
7K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,847,725
Posts
49,463,999
Members
666,444
Latest member
New life zone
Back
Top Bottom