Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
55 Reactions
154 Replies
5K Views
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated...
24 Reactions
374 Replies
13K Views
Hili suala la AJIRA za TEUZI kwangu ni chanzo kikukuu cha umasikini maana tunakosa watu sahihi hali ya kuwa tunao hao watu. Kwa mfano kuanzia CEO wa taasisi kama NIMR, NHIF , JKCI, MSD , TTCL...
23 Reactions
78 Replies
1K Views
Au bidada ni mzushi?
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
25 Reactions
294 Replies
23K Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
154K Replies
8M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Baada ya Uingereza kulazimisha kuhamisha watafuta hifadhi Rwanda, kwa maoni yangu naona kuna migogoro ya kiusalama itatokea kwa nchi zinazopakana na Rwanda. Ni namna Rwanda inataka kupanua nchi...
2 Reactions
7 Replies
201 Views
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
1 Reactions
5 Replies
177 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,966
Posts
49,471,161
Members
666,531
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom