Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut.
Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia...
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo...
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.
Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
Salaam,Shalom.
Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU.
Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI...
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.