Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Anaitwa Single mtambalike. Nimeenza kumuona Tangu miaka ya 99 huko lakin mpaka Leo muonekano wake upo vile vile.. Asee Kaka rich emu njo utupe Siri ya kutokuzeeka au wewe. Ni clone
1 Reactions
27 Replies
832 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
20 Reactions
216 Replies
2K Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
0 Reactions
9 Replies
327 Views
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani...
1 Reactions
5 Replies
49 Views
KORASHI MKUU WA UAJEMI (Cyrus the Great of Persian Empire) Unapozungumzia dola kubwa na muhimu zilizowahi kutawala kwenye mgongo huu wa dunia basi hutoacha kuzungumzia dola ya uajemi...
1 Reactions
9 Replies
88 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
15 Reactions
218 Replies
9K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
12 Reactions
57 Replies
527 Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushondi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
9 Reactions
183 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,674
Posts
49,425,658
Members
666,017
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom