Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Zingatia hicho kichwa hapo juu
Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya...
Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo...
Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini???
Jee Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa!!??
Jee Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu??
Jee Simba...
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA...
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.