Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mitaa ya Moshi mama mmoja kastukia mchezo wa mumewe baada ya kuwa anaaga anaenda msikitini kumbe anaenda kwa mchepuko. Jamani kwa nini hatumuogopi Mungu? Video CC: @zuli_comedy Instagram
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei...
23 Reactions
259 Replies
5K Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
9 Reactions
69 Replies
808 Views
Tupia chochote kuhusu wanyama Kibaya Kizuri Cha kuelimisha Cha kuchekesha Cha kushangaza Cha kuhuzunisha Cha kufurahisha Cha kusikitisha nk nk
51 Reactions
2K Replies
105K Views
Baada ya kumsikiliza mkuu wa majeshi mstaafu katika mahojiano yake na vyombo vya habari vya serikali, nimewaza jambo. CDF Mabeyo anasema wakuu wa vyombo walijulishwa hali ya mkuu wa nchi, na...
22 Reactions
95 Replies
4K Views
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
3 Reactions
13 Replies
308 Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
5 Reactions
17 Replies
370 Views
Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
0 Reactions
2 Replies
140 Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
39 Reactions
428 Replies
21K Views
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima...
2 Reactions
6 Replies
109 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,659
Posts
49,109,923
Members
662,953
Latest member
Bad Guys
Back
Top Bottom