Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
913 Reactions
1M Replies
37M Views
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
4 Reactions
36 Replies
466 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
36 Reactions
224 Replies
4K Views
Episode 1: Introduction. Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa...
11 Reactions
170 Replies
41K Views
"Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata," amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri...
5 Reactions
13 Replies
315 Views
Leo imetimia miaka 3 Tangu Rais Samia aape kuwa Rais wa Tanzania. Kwa miaka hii 3, Nchi imepata mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi na kijamii Kwa mda mfupi kushinda wakati mwingine...
4 Reactions
57 Replies
464 Views
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3...
8 Reactions
17 Replies
263 Views
Naomba majibu yawe mafupi mafupi sana Ni wanaweza au hawawezi kwa mujibu wa Katiba basi, usilete Siasa za roporopo Ramadan Kareem 😂
0 Reactions
20 Replies
352 Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
15 Reactions
219 Replies
3K Views
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027. Uwanja huo utagharimu...
5 Reactions
36 Replies
642 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,735
Posts
49,112,619
Members
662,990
Latest member
mr_fact_96
Back
Top Bottom