Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali. watawala kujazilishia...
11 Reactions
19 Replies
515 Views
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran...
3 Reactions
29 Replies
533 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
4 Reactions
31 Replies
418 Views
Huyu kiongozi wa UVCCM huko Kagera aliyesema atawapoteza Wapinzani na polisi wasiwatafute kama atakuwa bado yuko ofisini mpaka kufikia leo jioni baada ya kumsikia Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi...
7 Reactions
21 Replies
532 Views
Wakati Bunge la JMT linaendelea na kujadili Bajeti ya TAMISEMI,Mbunge wa Tarime Mwita Waitara amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni ya miradi kwenye Majimbo na sekta zote alitaja kwamba...
2 Reactions
34 Replies
381 Views
Habarini wana JF! Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na...
6 Reactions
30 Replies
377 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
2 Reactions
19 Replies
325 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,550
Posts
49,421,453
Members
665,973
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom