Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...
Wakuu kama heading inavyosomeka,
Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.
Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii.
Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...
Nina miaka kadhaa ninatumia decoder ya startime husema burudani kwa wote lkn nimefuatilia naona ni burudani kwa wachina na wakorea sina ninacholifaidi
Sasa kwa mwenye uhitaji na hiyo king'amuzi...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
MRADI WA MACHIMBO YA DHAHABU NYANZAGA KUANZA UTEKELEZAJI WAKE MAPEMA
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya Perseus Dodoma leo
-Awataka kuharakisha uendelezaji wa mradi
-Asisitiza...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.