Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia...
30 Reactions
85 Replies
3K Views
Mimi ni kati ya wale ndugu wasiopenda kutongoza, ni mtu wa kuweka mitego tu bidada anaelewa mwenyewe hapa anaombwa utamu. Mind you, huwezi mpata kila msichana kizembe namna hiyo. Hakika harakati...
25 Reactions
41 Replies
2K Views
Dar es salaam Ikulu ya Mjerumani ikiteketea baada ya kupigwa kombora toka kwenye meli ya mwingereza. Kwenye eneo hilo ilibidi mwingereza ajenge Ikulu mpya Miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi...
3 Reactions
87 Replies
3K Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
10 Reactions
103 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
7 Reactions
231 Replies
5K Views
Jana Viongozi wote wa Simba SC mlionekana Bunju Arena mkiwa na Sura za Upendo kwa Wachezaji huku kila Kiongozo aliyekuwepo katika Msafara ule akienda kwa kila Mchezaji na Kuwaonyesha Upendo na...
0 Reactions
4 Replies
140 Views
Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,971
Posts
49,402,554
Members
665,794
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom