Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the...
0 Reactions
14 Replies
507 Views
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa...
9 Reactions
302 Replies
8K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia...
31 Reactions
92 Replies
3K Views
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
30 Reactions
169 Replies
3K Views
Ni jambo la busara sana. Kuinua uchumi wa nchi. Mama abarikiwe sana. Ametuona kwa kweli.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Moderator leo mmenikera sana tena sana nimeanzisha thread yangu, halafu mnaiunganisha na thread nyingine Mbaya zaidi mmeunganisha kwenye thread ya mtu ambaye sijawahi kumkubali hata kidogo Aisee...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2
0 Reactions
21 Replies
166 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
43 Reactions
188 Replies
3K Views
Taarifa haijakamilika rasmi, kama kuna yeyote atakaye pata updates zaidi, basi unaweza kutuletea taarifa iliyokamilika 🤝. • MwenyeziMungu awaweke mahali pewa wale wote waliofikwa na umauti...
5 Reactions
52 Replies
679 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,035
Posts
49,404,769
Members
665,809
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom