Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
wakuu ni aje Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
5 Reactions
64 Replies
465 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
14 Reactions
212 Replies
3K Views
Sisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini. Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This...
4 Reactions
20 Replies
415 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
233 Replies
5K Views
Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji...
1 Reactions
6 Replies
118 Views
Habarini wana jf! Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga Anatembea na Exodus 14:14 Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥 Kwenu Lucas na...
5 Reactions
65 Replies
601 Views
Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo. Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
2 Reactions
7 Replies
215 Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
13 Reactions
92 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,489
Posts
49,419,523
Members
665,972
Latest member
geof m
Back
Top Bottom