Nimelala chini ya mti wa kijani na kusikiliza sauti za upepo zinazopita, nikitafakari juu ya maana ya maisha na jinsi wingu linafanana na ndoto zetu za kupita. Baridi inaniuma, lakini jua linanipa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana.
Mwanamke au mwanaume...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Wadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
Wakuu ni aje,
Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani.
Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.