Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman...
9 Reactions
97 Replies
904 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
12 Reactions
153 Replies
1K Views
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi , maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua . Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
4 Reactions
12 Replies
99 Views
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa. Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki Msaaada naombeni
1 Reactions
22 Replies
212 Views
Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi alafu mnadanganya bei mzigo wa milioni moja unasema laki moja. Sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
3 Reactions
54 Replies
404 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,395
Posts
49,200,428
Members
664,018
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom