Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita. Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo Shirika la habari...
1 Reactions
8 Replies
170 Views
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
19 Reactions
445 Replies
7K Views
Jenerali Francis Agula na maafisa wengine tisa wamefariki katika helicopter crash jana.
1 Reactions
5 Replies
180 Views
Wasaalam Wana Jukwaa wote. Tunaelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia hapo Mei 15, 2024 ambapo, nchi yetu tutaungana na zingine duniani kuadhimisha. Familia ni chanzo cha jamii yetu...
1 Reactions
1 Replies
27 Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
2 Reactions
147 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Uchaguzi Mkuu wa ACT wazalendo uliopelekea kupatika a viongozi Wapya wa juu umekifanya Chama hicho Kuwa Cha kisasa Zaidi Ni dhahiri Vyama vingine kama CUF, Chauma na Chadema vitafuata nyayo za...
4 Reactions
15 Replies
294 Views
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...
2 Reactions
6 Replies
105 Views
Wote tumeona na kusikia Kikichotokea Hanang na maeneo mengine kama Arusha, Geita na Baadhi ya Nchi jirani Kwa kukumbwa na Mafuriko na maporimoko ya Mawe na uongo. Kwa tahadhari tu, unapochagua...
4 Reactions
10 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,697
Posts
49,426,424
Members
666,032
Latest member
Banemhi
Back
Top Bottom