Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula.
Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda.
Kwa...
Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi...
Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah
Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
Kupitia mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho Kati ya Yanga na mamelodi,
Kocha mkuu wa Yanga Miguel GAMONDI, kafunguka mpaka Sasa Bado Aziz Ki na kipa Diarra hawajawasili...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.