Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana...
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu.
Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape...
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni...
Mnaotumia barabara ya morogoro, kibaha mlandizi au chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini.
Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.