Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you...
Je,
1. Uwalipizie Kisasi?
2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao?
3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi?
4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao?
5. Kama ni Wanawake...
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli
Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao
Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa...
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.