Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata...
18 Reactions
91 Replies
3K Views
Tatizo uwongo huwa haudumu, hizi picha bandia za kutengenezwa kwa kutumia Aritificial Intelligence (AI) zilisambazwa sana kwenye mitandao na kusababisha Waarabu kuandamana hatimaye zimeanza...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo
6 Reactions
58 Replies
671 Views
Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya...
8 Reactions
22 Replies
328 Views
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea...
14 Reactions
104 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi. Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu. Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
38 Reactions
272 Replies
12K Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
64 Reactions
388 Replies
7K Views
Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC...
3 Reactions
28 Replies
498 Views
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
22 Reactions
125 Replies
2K Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
8 Reactions
68 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,816
Posts
49,215,193
Members
664,091
Latest member
Mwivano Kaoneka
Back
Top Bottom