Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85...
2 Reactions
65 Replies
539 Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
2 Reactions
22 Replies
463 Views
Habari zenu wakuu..Mm ni mwanafunzi wa chuo nipo mwaka wa pili..nina jambo langu nahitaji nishiriki nanyi humu ndani...Nina pesa kama Mil 1.3 nahitaj nifanye biashara...lkn biashara niliyonayo...
4 Reactions
17 Replies
322 Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini, Nabii wa Mungu Godbless Lema amewataka wakuu wa vyombo vya Usalama vya Tanzania kujiuzulu mara moja kutokana na Uzembe wa kutokujua kwamba Rais anatukanwa...
5 Reactions
27 Replies
981 Views
Siku chache baada ya Mwenyekiti wa chama cha mawakala wa utalii Tanzania (TATO) Wilbard Chambulo kuituhumu Halmashauri ya jiji la Arusha kudai kuwa ameilipa Halmashauri hiyo milioni 24 kwenye kodi...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
https://youtu.be/hCen4tG9zig
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa tusk force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
4 Reactions
22 Replies
590 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
47K Views
Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali. (1) Wananchi...
2 Reactions
3 Replies
149 Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
9 Reactions
103 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,826
Posts
49,398,313
Members
665,733
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom