Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
Jina kamili: Mamelodi Sundowns Football Club
Nicknames: Masandawana /The Brazilians.
Nchi: Afrika Kusini.
Ngazi ya ligi: Ligi kuu ya Afrika kusini (PSL/DstvPremiership)
Kuanzishwa: 1970...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
Habari wakuu
Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro...
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika...
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.